Alama ya Barabarani ikiwa imewekwa katika eneo la barabara ya kwalinatu kuelekea miembeni jirani na makutano ya barabara ya kariakoo Uwanja wa Watoto, Ikionesha alama ya Zebra na Picha ya Mtu ameshika muavuli akivuka barabara. Wananchi wengi wakijuulisha Alama hii inaashiria nini ikizingatiwa katika eneo hilo hakuna mchoro wowote wa kuonesha kuna sehemu ya kuvuka Watu kwa kutumia miguu.
WANACHUO WAFUNZWA NAMNA YA KUEPUKA UDANGANYIFU SOKONI⁸
-
*Afisa Mlinda Mlaji Mwandamizi FCC Bi.Magdalena Hall,akitoa elimu kuhusu
masuala ya kumlinda mlaji na mikataba ya walaji kwa wanafunzi wa Chuo Cha
Ufu...
1 hour ago
0 Comments