Askari wa JWTZ wakishiriki katika kufanya usafi wa mazingira katika Soko la Mbogamboga Mombasa Zanzibar wakiadhimisha Siku ya Mashujaa kwa shughuli za usafi katika maeneo mbalimbali.
Mtoto wa miaka 12 ajinyonga baada ya kukemewa Morogoro
-
Mtoto mwenye umri wa miaka 12, Rajabu Ally Mohammed, mkazi wa Ijava
wilayani Gairo mkoani Morogoro, amefariki dunia kwa kujinyonga baada ya
kukemewa na...
1 hour ago
0 Comments