Maandalizi wa Ujenzi wa Ukarabati wa Jengo la Beit Al Jaib Forodhani Zanzibar ukiaza ujenzi huo kwa kuwasili Wataalam wa Ujenzi Watano kutoka Nchi mbalimbali na kuungana na Wataalamu wazawa wa Zanzibar kusimamia ujenzi huo wa Ukarabati unaofanywa na Serikali ya Oman kwa gharama ya Dolla za kimarekani zaidi ya milioni Tano ili kuweza kukamilisha ukarabati huo mkubwa unaotarajiwa kuchukua miezi 18 hadi kumaliza kwake ujenzi huo.
SHULE ZOTE ZA SERIKALI KUFIKIWA NA VITABU KABLA HAZIJAFUNGULIWA
-
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba
amesema, TET imejipanga kuhakikisha shule zote za Serikali zinafikiwa na
vitabu kabla h...
11 hours ago
0 Comments