6/recent/ticker-posts

Breaking News Julius Mtatiro Ahamia CCM.

Breaking News: Aliye Kuwa Mwenyekiti Wa Kamati Ya Uongozi Wa Chama Cha Wananchi CUF Julius Mtatiro Ametangaza Kujivua Nafasi yake ya Uongozi Na Kujivua Uwanachama Wa  Chama Hicho ( CUF ) Na Kuamua Kufanya Siasa Kwa Vitendo kwa Kumuunga Mkono Raisi John Magufuli.
#Zanzibar360.

Post a Comment

0 Comments