6/recent/ticker-posts

Ujenzi wa Taifa Katika Kituo cha Afya Kianga Wilaya Magharibi A Unguja.


Mkurugenzi wa Uratibu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Khalid Bakar akishiriki ujenzi wa Taifa Kituo cha Afya Kianga. Ujenzi wa Kituo utagharimu zaidi ya shilingi milioni Mia moja zinazotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF)

Post a Comment

0 Comments