Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi Komputa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba Mwalimu Khamis Adam, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Mfanya biashara Bora kwa kugawa vifaa kwa skuli zilizotoa wanafunzi wa daraja la kwanza kidato cha sita mwaka 2018, hafala iliyofanyika katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
MFALME WA SWEDEN AMUAGA BALOZI MATINYI
-
MFALME Carl XVI Gustaf wa Sweden, amemuaga aliyekuwa Balozi wa Tanzania
nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye
Jumba l...
43 minutes ago
0 Comments