6/recent/ticker-posts

Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mr. White Akabidhi vifaa vya Michezo Timu za Jimbo lake.

Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe. Salim Turky (Mr.White) akikabidhi msaada wa Vifaa vya michezo kwa Timu zilioko katika Jimbo lake zinazoshiriki Ligi madaraja mbalimbali katika Ligi za Unguja.


Post a Comment

0 Comments