6/recent/ticker-posts

Muonekano wa Marikiti ya Darajani Zanzibar Usiku Huu.

Muonekano wa Marikiti Kuu Darajani wakati wa Usiku leo kama inavyoonekana picha wakati huu wananchi wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji yao kwa matumizi ya nyumbani. Wananchi wa Mji wa Zanzibar hufika katika marikiti hii kupata majitaji yao wakati wa Soko la Jioni.


Post a Comment

0 Comments