6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Awasili Katika Kijiji Cha Nandagala Wilayani Ruangwa na Kupokelewa Kwa Shangwe leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wakati alipowasili katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wakati alipowasili katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Desemba 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments