6/recent/ticker-posts

Tukio la Ajali katika Eneo la Kariakoo Zanzibar.Gari Ikiwa Imeacha Njia na Kugonga Ukuta wa Kiwanja Cha Watoto Kariakoo.

Wananchi wakiangali gari iliopata ajali katika barabara ya Kariakoo na kuacha njia na kugonga ukuta wa Uwanja wa Kufurahia Watoto Kariakoo Zanzibar, na kubomoa sehemu ya ukuta huo.Na gari hiyo kupata hasara kubwa. 





Post a Comment

0 Comments