Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Vijana Sanaa na Utamaduni Zanzibare Ndg. Omar Hassan King akisalimiana na Timu ya Vijana ya Central Timu ya Suhad AFC,wakatin wa ufunguzi huo wa mchezo wa kwanza kwa Timu za Central na Basketi Ball. Ufunguzi huo umezikutanisha Timu za Central za Suhad AFC na Befic na kwa upande wa Timu za Mpira wa Kikapu umezikutanisha Timu za New West ma Rangers.
Leo Ndio Siku Yako ya Kutusua na Meridianbet
-
MECHI kibao za ushindi zinakungoja leo, huku wewe ukiwa na nafasi ya
kuondoka na pesa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kutengeneza pesa siku
ya leo kw...
6 hours ago
0 Comments