6/recent/ticker-posts

Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kwa Kiwango Cha Lami Kisiwani Pemba.

Ujenzi wa Barabara mpya kwa kiwango cha lami katika maeneo mbalimbali kisiwani Pemba,Mmoja ya Mradi huo wa barabara ya ikiwa katika makutano ya Mabao ikitokea Ole na kuelekea Kengeja  na Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake.Pemba ikiendelea na ujenzi wake kama inavyoonekana picha makutano ya barabara hiyo maeneo ya mzunguko wa mabaoni.  


Post a Comment

0 Comments