Naibu Mkurugenzi mtendaji wa benk ya watu wa Zanzibar (PBZ) Khadija Shamte Mzee akitiliana saini na mwakilishi wa shirila la simu Tanzania TTCL Alphones Mozes mashirikiano katika uendeshwaji wa huduma za kifedha kupitia simu ya mkononi,makubaliano hayo yametiwa saini leo katika ukumbi wa makao makuu ya benk hio ilipo Mpirani mjini Unguja.
DKT. MWIGULU: KAZI ZINAZOWEZA KUFANYWA NA WAZAWA ZISIFANYWE NA WAGENI
-
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka wizara zinazohusika na masuala
ya ajira zisimamie kikamilifu utekelezaji wa sheria zinazotaka kazi
zinazoweza...
1 minute ago

0 Comments