Mchezaji wa Timu ya JKU ya Zanzibar akiwa na mpira akijiandaa kuoa pasi kwa mchezaji mwezaka wakati wa Michezo ya Kombe la Afrika Mashari mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja Timu ya NIC kutoka Uganda imeshinda mchezo huo kwa mabao 58 - 38.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
32 minutes ago
0 Comments