Mchezaji wa Timu ya KCCA kutoka Uganda akiwa na mpira akijiandaa kutowa pasi wakati wa mchezo wao wa Kombe la Afrika Mashari uliofanyika Uwanbja wa Gymkhana dhidi ya Timu ya KVZ ya Zanzibar.Timu ya KCCA imeshinda mchezo huo kwa mabao 48 - 32.
Matukio : Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya...
2 hours ago
0 Comments