Baadhi ya vyerahani ambavyo ni msaada kutoka kwa uongozi wa Ofisi ya halmshauri ya Wilaya ya kati kwa vikundi vya wana ushirika
Baadhi ya mipira ya maji ambayo ni msaada kutoka kwa kuongozi wa halmshauri ya Wilaya ya kati kwa vikundi vya wana ushirika
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati , Bw Said Mtaji Askari akikabidhi Vyerahani kwa wanaushirika kutoka Unguja Ukuu, Chwaka, Ndijani na Tunguu ili kuwasaidia katiika kujikwamua kiuchumi
Serikali Yathibitisha Uhakika wa Upatikanaji wa Mafuta Nchini kwa Kipindi
cha Miezi Mitatu
-
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeeleza kuwa hali ya upatikanaji wa
mafuta nchini bado ni shwari, huku bei zikiwa himilivu, ambapo mafuta
yaliyopo yana...
36 minutes ago




0 Comments