6/recent/ticker-posts

Ujenzi wa Barabara ya Kaskazini Unguja Ukiendelea Kwa Kasi.

Mafundi wa Kampuni ya Kichina inayojenga Barabara ya Kaskazini Unguja kuanzia kwa Nyanya hadi Mkokotoni ukiendelea na ujenzi huo, kama wanavyoonekana Mafundi wakiwa katika ujenzi wa madaraja katika barabara hiyo.





Post a Comment

0 Comments