6/recent/ticker-posts

Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 4, 2019
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mwita Waitara, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments