6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania.


Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, walipokutana kwa mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogonijijini Dar es Salaam.
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman,ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogonijijini Dar es Salaam.
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa picha ya watoto na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, baada ya mazungumzo yao, ofisini Magogonijijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments