Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Michezo Utamanuni na Sanaa Ndg. Omar Hassan King akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya FA Nahodha wa Timu ya Malindi baada ya kushinda mchezo wao wa Fainali na Timu ya JKU uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA KASI YA USAMBAZAJI UMEME VITONGOJI 15 KILA JIMBO
-
Na Mwandishi Wetu
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya
Nishati kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kasi ya utekeleza...
49 minutes ago
0 Comments