Daraja la barabara ya kibonde mzungu likiwa katika hatua za mwisho ya ujenzi huo baada ya kukamilika kwa kiasi kikubwa na kwa sasa ikiwa katika hatua za kuweka vidaraja vya ukindo wa barabara hiyo na kuaza kutumika kwa magari yanayoelekea katika Mkoa wa Kusini Ungyuja na kupita bila tabu, kama linavyoonekana pichani hali halisi ya daraja hilo. Siku za nyuma kipindi cha mvua za masika eneo hili hujaa maji na kuleta maafa na kukosa kupitika kutokana na kujaa maji hadi juu ya barabara hiyo ilioyopita katika daraja hilo.
MAADILI YA RAMADHAN YAHIMIZWA KUDUMISHWA MBEYA
-
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
MKUU wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda, amewahimiza viongozi wa dini ya
Kiislamu kuendelea kusimamia na kuimarisha maadili kwa wa...
5 minutes ago
0 Comments