Marehemu Juma Ali Juma aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, aliyefarika jana katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipata matibabu katika Hospitali hiyo baada ya kupata ajali wiki hii Zanzibar.
DC KIBITI ABANA VIKUNDI CHECHEFU, AAGIZA MAJINA YAWASILISHWE HARAKA
-
MKUU wa Wilaya ya Kibiti, Kanali Joseph Kolombo ameitaka Idara ya Maendeleo
ya Jamii kuwasilisha majina ya vikundi vyote ambavyo havijarejesha mikopo
ya as...
1 hour ago
0 Comments