Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar akitowa Elimu kwa Wanafunzi wa Madrasa ya Kwabiziredi Unguja, jinsi ya kutumia Taa za kuongozea gari na watembea kwa miguu wakati wakitumia barabara hiyo wakati wa kukatisha barabara.Kama alivyokutwa na Kamera yetu ya Blog ya zanzinews.com, katika eneo hilo wakipata Elimu hiyo kupitia Jeshi la Polisi Usalama Barabarani Zanzibar.
PPRA Yatoa Elimu ya Mfumo wa NEST kwa Waumini KKKT Bunju B
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewajengea uwezo na uelewa
waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzan...
7 minutes ago
0 Comments