Afisa wa Mawasiliano wa Benki ya Diamond Trust Bank Tanzania Selevester Bahati akizungumza wakati wa hafla ya Futari iliofanyika katika viwanja vya Bustani ya Ngome Kongwe iliofanyika jana Jijini Zanzibar, na kuwajumuisha Wateja wao wa Tawi la Zanzibar na Wananchi mbalimbali. Mgeni Rasmin Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed.
FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze
-
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa
wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa
mlaj...
20 minutes ago
0 Comments