Mkurugenzi wa SOS Asha Salim Ali katikati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Zanzibar kuhusu kukamilika Maandalizi ya Tamasha la michezo la Watoto, kesho kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani litakalofanyika katika viwanja vya SOS Mombasa Zanzibar.
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
2 hours ago

0 Comments