Mamlaka ya Mawasiliani Tanzania Yatowa Elimu ya Matumizi ya Mitando kwa Watu wenye Ulemavu Visiwani Zanzibar, mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, kama wanavyoonekana pichani wakifuatilia mafunzo hayo wakipitia makabrasha ya TCRA wakati wa mafunzo hayo.
MIAMBA YATEMBELEA MWAMBA WA NGORONGORO.
-
Ikiwa ni majira ya Masika na kiubaridi, Bustani ya Eden ya Ngorongoro
ikizungukwa na kingo zenye urefu wa Mita 610 huku wanyama na ndege
wakichagiza kwa...
7 minutes ago
0 Comments