Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
6 hours ago
0 Comments