Shamba la Utalii wa Ndani la Miti mbalimbali ya Viungo vya Zanzibar Wilaya ya Magharibi B Unguja likiwa katika eneo la Kitundu. Hupatikana Miti yote ya Zanzibar ya Matunda na Viungo Asilia vya Zanzibar. Hutoa huduma ya Utalii kwa Wananchi wa Ndani na Wageni kutembelea shamba hilo kujionea Maliasili ya Zanzibar .
TMA JNIA YATOA ELIMU KWA JAMII KUADHIMISHA SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI 2026
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Kituo cha Hali ya Hewa cha Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), im...
7 hours ago
0 Comments