Muonekano wa sehemu ya Daraja la Reli ya SGR litalopita juu kutoka Ilala hadi Stesheni ya Dar es salaam linavyoonekana likimaliziwa kujengwa maeneo ya Shaurimoyo kama lilivyopigwa picha leo na Issa Michuzi.
TMA Yabainisha Njia Rasmi za Kupata Taarifa za Hali ya Hewa
-
Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imebainisha njia rasmi zinazotumika
katika usambazaji wa taarifa za hali ya hewa nchin...
2 hours ago

0 Comments