Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, tokea nchini Misri, alipokua kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu, Julai 11.2019. Kulia ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Ngalayainisi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
NEMC KUADHIMISHA SIKU YA “TAKA SIFURI”, YAHAMASISHA TAKA KUWA FURSA YA
KIUCHUMI
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kwa
kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ...
46 minutes ago
0 Comments