6/recent/ticker-posts

DC Kusini Pemba Azungumza na Wanahabari Kuhusu Kupanda kwa Bei ya Mkate wa Boflo

Mkuu wa Wilaya ya Kusini Pemba Rashidi Hadidi Rashid akizunguza na waandishi wa habari juu ya upandishwaji wa bei ya Mkate wa Boflo jambo ambalo  kinyume na sheria ghafla hiyo imefanyika huko Ofisini kwake Kisiwani Pemba.
Waandishi wa habari wakichukuwa Maelezo kwa Mkuu wa Wiya ya Chake-chake Kusini Pemba Rashid Hadidi Rashidi  mara walipofika Ofisini  hapo ghafla hiyo imefanyika Chake-
chake Kisiwani Pemba.
                                                       Picha na Miza Othman- Maelezo.   

Post a Comment

0 Comments