Wachezaji wa Timu ya Malindi Wanaoshiki Kombe la Washindi wakipasha misuli kabla ya kucheza mchezo wao wa Awali wa Kombe wa Shirikisho Dhidi ya Timu ya MCC kutoka Nchini Somali unaofanyika jioni hii katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
TAFORI YAONGOZA HATUA ZA UANZISHWAJI WA JUKWAA LA WADAU WA UYOGA TANZANIA
-
Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) kwa kushirikiana na Shirika
la ADAP (Association for the Development of Protected Areas) imeongoza
hatua z...
47 minutes ago
0 Comments