Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Alhajj Ali Mohamed Shein ukiwasili katika Viwanja Vya Langoni Wilaya ya Magharibi "A" Unguja kuhudhuria Baraza la Eid El Hajj Kitaifa limefanyika katika Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Karume na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
3 hours ago
0 Comments