Mchezaji wa Timu ya Chipukizi akimpitabeki wa Timu ya Mlandege, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika katika Uwanja wa Mao. Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao.4-1.
TANZANIA NA CHUO KIKUU CHA LIMERICK WASAINI MAKUBALIANO YA UFADHILI WA
SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED
-
SERIKALI ya Tanzania na Chuo Kikuu cha Limerick cha nchini Ireland
wamesaini hati ya makubaliano ya utekelezaji wa ufadhili wa Samia
Scholarship Extended, ...
1 hour ago
0 Comments