Wachezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakiingia Uwanjani wakiwa wameshikilia Ngao ya Hisani ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar . mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar uliozikutanisha Timu za KMKM Mabingwa wa Zanzibar mwaka 2018 /2019 na Timu ya Malindi. kushoto Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Timu ya Malindi Zanzibar Mzee Salum Nassor Mkweche na kulia mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa na Timu ya Jeshi na Ujamaa Mzee Mohammed Ahmed Mwanga.
DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI RUANGWA-NACHINGWEA
-
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 21, 2025 ameweka jiwe la
msingi la ujenzi wa mradi wa maji Lindi-Ruangwa- Nachingwea, katika kijiji
cha Chi...
44 minutes ago
0 Comments