6/recent/ticker-posts

Huduma za ATM Kuwafikia Wananchi Vijiji Kupitia Benki ya Watu wa Zanzibar Kijiji cha Micheweni Kisiwani Pemba Wilaya ya Wete.

Huduma ya Kibenki kupitia ATM yawafikia Wananchi wa Kijiji cha Micheweni Wilaya ya Wete Pemba kupitia Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd, kurahisisha huduma za Kibenki kwa Wananchi wa Kijiji hicho kupata huduma hiyo.
PBZ imeongeza hududa ya ATM katika maeneo mbalimbali ya Visiwa vya Unguja na Pemba.

Post a Comment

0 Comments