Ndege ya Shirika la Ndege la Qatar Air Aina ya Dreamliner 787-800 ikiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ikiwa na Abiria 250, wakitokea Nchini Qatar,hufanya safari zake kila Siku Kati ya Qatar hadi Zanzibar.Dreamliner ni safari yake ya kwanza kuja Zanzibar. Kama inavyoonekana ikiwa katika harakati za kushusha mizigo baada ya kuteremka abiria wake na ina uwezo kuchukua Kontena.
JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MABWENI NA MADARASA SHULE YA SEKONDARI DK.
SELEMANI JAFO
-
*MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akikagua ujenzi wa
mabweni mawili na madarasa katika Shule ya Sekondari Dkt.Selemani
Jafo,wakati wa...
4 hours ago
0 Comments