RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.Mhe. Hemed Suleiman Abdalla,
alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba leo kuaza ziara yake Kisiwani
Pemba, kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.Mhe.Omar Othman Khamis,Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi na Makamu Mwenyekiti wa
UWT.Bi. Thuwaiba Editon
////RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi,
alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba leo kuaza ziara yake Kisiwani
Pemba, kushoto Makamu Mwenyekiti wa UWT.Bi. Thuwaiba Editon Kisasi
Wafanyabiashara Watakiwa Kulipa Kodi kwa Hiari Kuchochea Maendeleo
-
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, ametoa wito kwa wafanyabiashara
kuendelea kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi kwa hiari ili kuchangia
maendeleo ya ...
5 minutes ago
0 Comments