MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji.
MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto akizungumza na wamiliki wapya wa kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa
VIONGOZI mbalimbali wakifuatilia mazungumzo hayo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na aliyevaa miwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji na Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga (DAS) faidha Salim
FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze
-
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa
wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa
mlaj...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments