Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Maafisa wa Jeshi la Magereza baada ya kufika katika Gereza la Kitai.Naibu Waziri yuko mkoani Ruvuma kutembelea shamba la gereza hilo ambalo ni moja kati ya mashamba kumi ya magereza nchini yaliyoteuliwa kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka magereza yajitosheleze kwa chakula cha wafungwa.
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
56 minutes ago
0 Comments