Meli ya Zan Fist Ferres ikiwa katika bandari ya Zanzibar ikishusha abiria na mizigo na kupakia Abiria ya kwenda Pemba katika Bandari ya Malindi Visiwani Zanzibar kama ilivyokutwa na Camera yetu.
Utalii : Endoro Water Falls, Maajabu Mengine Ngorongoro
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ya...
6 minutes ago
0 Comments