Mchezaji wa Timu ya Mpira wa Kikapu wa Rangers akimpita mchezaji wa Timu ya Stone Town wakati wa mchezo huo kuwania Kombe la Wooter Africa mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Zanzibar Timu ya Stone Town imeibuka kwa vikapu 62 - 54.
REA WAACHA TABASAMU KILOMBERO UJENZI KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA
-
*Ni ujenzi uliogharimu Sh.bilioni 25,changamoto ya kukatika umeme imebaki
historia
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Ifakara
MRADI wa ujenzi wa Kituo cha ku...
1 minute ago
0 Comments