Muonekano ya Jumba la Treni Darajani kabla ya kuaza kwa harakati za biashara katika eneo hilo maarufu Zanzibar kwa biashara za aina mbambali zinazofanyika katika eneo hilo kwa Wakazi wa Jijini la Zanzibar hufika kujipatia mahitaji yao ya kila siku kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
CAMFED yaandika Historia ya kuwawezesha wasichana kielimu na Uchumi Tanzania
-
Na Farida Mangube Morogoro
Katika hatua ya kuimarisha nafasi ya mtoto wa kike katika elimu na uchumi
wa Taifa, Shirika lisilo la kiserikali la CAMFED lim...
40 minutes ago
0 Comments