Maonesho ya Vitu vya Asili vikioneshwa wakati wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Kiswahili lililofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. moja ya Vitu hivyo ni jinsi ya kupamba chumba kwa vitu vya asili kikiwemo kitanda cha besera, buli la maji viatu vya magongo na sanduku la mbao.
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA KASI YA USAMBAZAJI UMEME VITONGOJI 15 KILA JIMBO
-
Na Mwandishi Wetu
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya
Nishati kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kasi ya utekeleza...
8 minutes ago









0 Comments