Mchezaji wa Timu ya Usolo Magic akiwa hewa akiifungia Timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Mpira wa Kikapu uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu ya Nyuki imeshiunda mchezo huo kwa Vikapu 71-64.
TCD Yaendelea Kuunganisha Vyama vya Siasa Kujadili Masuala ya Taifa
-
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ahmed akizungumza jijini Dar es
Salaam Machi 13, 2026 katika hafla ya futari kwa Waislam na Wakristu
iliyoandali...
1 hour ago
0 Comments