Wasamaria wakimsaidi mjasiriamali aliyepata ajali ya kuanguka na pikipiki yake akiwa na tenga la mikate mkatika makutano ya barabara ya mkunazini na michezani kama wanavyoonekana wakiwa katika zoezi hilo, ajali hiyo imetokea juzi mpanda pikipiki huyo hajapata madhara katika tukio hilo la ajali.
TUTAKUWA WAKALI- DKT AKWILAPO
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
amesema watakuwa wakali kwa watumishi watakaokiuka tarati...
9 minutes ago

0 Comments