6/recent/ticker-posts

Innaa Lillaahi Wainnaa ilayhi Raaijuun Aliyekuwa Kadhi Mkuu mstaafu Sheikh Habib Ali Kombo amefariki

Aliyekuwa kadhi mkuu mstaafu wa Zanzibar, Sheikh Habib Ali Kombo amefariki usiku wa kuamkia leo. Maziko yalikuwa leo baada ya sala ya adhuhuri katika msikiti wa Jamii Zenjibar hapo Mazizini

Post a Comment

0 Comments