Wananchi Kisiwani Pemba wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji yao katika maduka ya Chakechake Pemba, kama walivyokutwa na Camera ya Zanzinews.Com katika mitaa hiyo wakiwa katika harakati hizo.
DCEA:TUMEDHIBITI DAWA ZA KULEVYA SASA WAMEHAMIA KATIKA ULEVI WA POMBE
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema
Tanzania imefanya kazi kubwa katika kupambana na dawa za k...
1 hour ago
0 Comments