6/recent/ticker-posts

Harakati Maandalizi ya Sikukuu Mitaa ya Chakechake Pemba Katika Kipindi Cha Ramadhan

Wananchi Kisiwani Pemba wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji yao katika maduka ya Chakechake Pemba, kama walivyokutwa na Camera ya Zanzinews.Com katika mitaa hiyo wakiwa katika harakati hizo. 




Post a Comment

0 Comments