Mlinzi wa Marikiti Kuu ya Darajani Jijini Zanzibar akiwa katrika zoezi la kuwapima joto Wananchi wanaoingia katika soko hilo kufuata mahitaji yao na kuhakikisha wakiwa wamevaa barkoa ili kujikinga na maambukizo ya Virusi vya Corona. Kama walivyokutwa na camera yake wakjiwa katika zoezi hilo nje ya soko hilo lilkiwa limezungushiwa uzio
PPRA Yatoa Elimu ya Mfumo wa NEST kwa Waumini KKKT Bunju B
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewajengea uwezo na uelewa
waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzan...
32 minutes ago






0 Comments